Sera ya Faragha (Privacy Policy)

Ilisasishwa mwisho: Januari 2025

MamaKijacho inaheshimu na kulinda faragha ya watumiaji wake. Sera hii inaeleza jinsi tunavyokusanya, kutumia, kuhifadhi na kulinda taarifa zako unapokuwa unatumia App ya MamaKijacho.

1. Taarifa Tunazokusanya

2. Jinsi Tunavyotumia Taarifa Zako

3. Kushiriki Taarifa

MamaKijacho haiuzi wala haitoi taarifa zako binafsi kwa watu au kampuni nyingine, isipokuwa:

4. Usalama wa Taarifa

Tunatumia hatua za kiusalama kulinda taarifa zako dhidi ya upotevu, matumizi mabaya au ufikiaji usioidhinishwa.

5. Faragha ya Watoto

Huduma zetu zinalenga wazazi na walezi. Hatukusanyi kwa makusudi taarifa binafsi za watoto bila idhini ya mzazi au mlezi.

6. Haki za Mtumiaji

Una haki ya:

7. Mabadiliko ya Sera ya Faragha

Tunaweza kubadilisha sera hii mara kwa mara. Mabadiliko yatatangazwa kupitia App au ukurasa huu.

8. Mawasiliano

Kwa maswali au maoni kuhusu sera ya faragha:

📧 Barua pepe: info@mamanamwanacare.co.tz
📞 Simu: +255 744 644 225